“WANAWAKE KOLEZENI RANGI” – RAIS SAMIA.

AWATAKA KUJIENDELEZA KIELIMU ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Chai ya rangi ni kinywaji maarufu duniani kama kifungua kinywa ingawa kimekuwa kikitumika nyakati tofauti kutegemea na mazingira na pengine hali ya hewa ya eneo husika. Unapozungumzia chai ya rangi, majani ya chai ndio kila kitu, mtumiaji anahitaji maji ya moto tu, kutengeneza chai yake.Ni katika muktadha huo, Rais